Ben Musiba, main character wa filamu mpya ( UFUNUO WA PASTOR MYAMBA), Ni star mpya katika tasnia ya filamu,ameonyesha uwezo wa juu sana, anatabiriwa kuwa atalishika soko la Tanzania ipasavyo. Msubirie kwa hamu sana pindi filamu hii itakapotoka, picha akiwa location akikariri script.
Kelvin Mhegele, Production manager wa BORNAGAIN FILMS PRODUCTION..pia ni assistant director wa filamu ya (PASTOR MYAMBA DELIVERENCE), ni mhitimu wa Tanzania Film Training Center (TFTC)
Tea, Msanii maarufu Tanzania pia amecheza kama mama mchungaji katika filamu ya (PASTOR MYAMBA DELIVERENCE)..Z